OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Ikifutika vitabaki vingine kama vile CHAUMA, CCK, TLP, NLD n.k wasipoifutaAkili zako ni za kipumbavu. Hii inchi inafuata mfumo wa vyama vingi. Lazima vyama zaidi ya kimoja viwepo. Sasa chadema ifutike ili iweje
Ikifutika maana yake itakuwa ngumu kuji organizeUsisahau waifute CDM na moyoni mwetu pia....