Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza muda wake.
Viongozi waliopo wamefanya hujuma za kuchomoa form za wagombea ambao wanadhani wanasifa na kuleta ushindani kwa M/kiti anayemaliza muda wake ili aliyepo sasa ashinde kiurahisi au asipate ushindani kabisa.
Pia baadhi ya wagombea viambatisho vyao wamefanya fitna kwa kuvichomoa ili waonekane hawana sifa za kugombea. Hayo yametokea kwa kushirikiana viongozi wa ofisi za ccm mkoa na baadhi ya wabunge wakiongozwa na mbunge wa nyasa, songea mjini, peramiho na Namtumbo. Hali sio nzuri kabisa.
Pia kuna wagombea waliogombea nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu ya ccm Taifa (viti 15 bara), hapa ndio shida zaidi hujuma ilimekuwa ya kusikitisha zaidi maana tayari kuna watu waliomba nafasi hizo form zao zimeshachomolewa kwa maana hata makao makuu huko hamtaweza kuona majina yao na hata mkiona viambatisho vyao vimeshachomolewa kwa sababu ya hofu ya baadhi ya wabunge kuhofia kutorudi bungeni 2025 hivyo wameamua kutumia nafasi zao ili kuwadhoofisha hao waliochukua form ili 2025 wasije wakapoteza nafasi zao.
Hali ni mbaya na show hiyo inaongozwa na mbunge wa nyasa, songea mjini, Peramiho na Namtumbo wakishirikiana na viongozi wa hapa mkoani ambao wametanguliza maslahi ya fedha mbele kuliko maslahi ya chama.
Tunaomba CCM makao makuu fuatilieni jambo hili maana hata uachaguzi ngazi ya kata imewaumiza wagombea wengi kwa kukatwa majina kwa fitna za hawa wabunge tajwa hapo juu.