Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Emmanuel Nchimbi.
Matembezi haya, ambayo yalivuta hisia kubwa kutoka kwa wanachama na wananchi, yamefanyika katika Uwanja wa CCM Wilaya ya Bariadi. Tukio hili limehitimishwa kwa Mkutano wa Hadhara, ambapo viongozi wa Chama walisisitiza mshikamano, umoja, na umuhimu wa kuunga mkono viongozi waliochaguliwa kwa ajili ya uchaguzi ujao.
Kwa pamoja, wanachama wa CCM Mkoa wa Simiyu wameonyesha mshikamano thabiti na dhamira ya kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kulinda maadili ya Chama na kusimamia maendeleo ya taifa.
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#CCMInaNguvu
#TanzaniaKwanza
Imetolewa na:
Idara ya Siasa na Uenezi
CCM Mkoa wa Simiyu
Attachments
-
WhatsApp Image 2025-01-25 at 21.21.54.jpeg198.3 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 21.21.55.jpeg246.2 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 21.21.56.jpeg387.5 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 21.21.59.jpeg291.1 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 21.22.00.jpeg285.2 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 21.22.02.jpeg271.7 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 19.30.43.jpeg189.3 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 19.30.40.jpeg203.3 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 19.30.37.jpeg207.4 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 19.28.38.jpeg173 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2025-01-25 at 19.28.27.jpeg182 KB · Views: 4