KWA TAARIFA TU NI KUWA LEMA AMESHINDA Lakini kinachoendelea ni kutaka kumpoka ushindi.
Nawafahamisha Watanzania kuwa iwapo Batilda atatangazwa mshindi wa Ubunge Arusha mjini mjue kabisa kuwa utulivu wa nchi hii utavunjikia Arusha period. WanaArusha kupitia balot have spoken lakini mamlaka haitaki kukubali hiyo fact. Mark my world!!Lets hope wafuata matakwa ya wananchi.
Sidhani kama Msimazi wa uchaguzi wa jimbo atadharau matoeko yaliyoletwa na kuthibitishwa na mawakala halafu afikiri NEC itayabariki................Anajidhalilisha.........
Inshallah! Imagine watu wamekusanyika kusubiria matokea toka asubuhi. Msimamizi anapata kigugumizi kutoa matokeo. Mara Batilda amegoma kusaini mara Lema ili mradi tu kuwachanganya wapiga kura. Narudia tena kuwa hii ni 2010 na siyo 2005. hakuna business as usual hapa.
NEC walimuondoa mkurugenzi wa uchaguzi wa mkoa Arusha na kumpeleka Kigoma, kwa kisingizio kuwa uwezo wake ulikuwa mdogo kiutendaji na wakamleta huyu aliyeko sasa hivi ambaye mamuzi yake ni lazima ccm washinde kwa namna yeyote ile.
Hali ni tete mpaka sasa hawataki kutangaza mshindi kuna watu wameshakusanya mawe. Tunajiuliza kama alikuwa na mshindi kwa nini alitudanganya kwenda kupiga kura? si wangesema tu tayari wanamshindi.
Wanaharakati wa mageuzi na wapenda maendeleo ya TZ hamuwezi kuamini kinachoendelea Arusha. Simply imeshindikana kutangaza matokeo kwa sababu mshindi si CCM bali ni CHADEMA. JF tujadili ni kwanini watu wamefanya uamuzi kisha hauheshimiwi?