Wanaccm hawajawahi kuwa na Aibu1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali
Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na mlichopata hakionekani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini kwa upande mwingine nchi imenufaika na makosa yenu maana sasa kitanuka kweli kweli
😅😅Wanaccm hawajawahi kuwa na Aibu
Inasikitisha sanaIla mbowe muhuniiiiiiiii sana kumbe no reform No election alitaka kuiacha aiseeee maana wafuasi wake wanasema ilikuwa geresha🤣 ,halafu mbowe alisema hakuna kuhama chama kumbe ilikuwa geresha 😆 aisee kumbe wametafuna fedha za chura kiziwiiii weeeee Sasa wazitapike
Maamuzi ya Chama unayaita ya Mbowe!Ila mbowe muhuniiiiiiiii sana kumbe no reform No election alitaka kuiacha aiseeee maana wafuasi wake wanasema ilikuwa geresha🤣 ,halafu mbowe alisema hakuna kuhama chama kumbe ilikuwa geresha 😆 aisee kumbe wametafuna fedha za chura kiziwiiii weeeee Sasa wazitapike
1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali
Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na mlichopata hakionekani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini kwa upande mwingine nchi imenufaika na makosa yenu maana sasa kitanuka kweli kweli
Kwanini ameyaita hivyo?Maamuzi ya Chama unayaita ya Mbowe!
Hata mimi niliwaza sana Hilo!1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali
Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na mlichopata hakionekani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini kwa upande mwingine nchi imenufaika na makosa yenu maana sasa kitanuka kweli kweli
Mbowe aliweka mtego wa hela! Uwe unaelewa,Hayo maamuzi alijua ataendelea kuwa Mwenyekiti ili afanye negotiation na Chura kiziwi na apate fungu lake!Maamuzi ya Chama unayaita ya Mbowe!
Kwakweli mwaka huu mtafanikiwa kuficha aibu maana hamtashiriki uchaguzi.1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali
Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na mlichopata hakionekani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini kwa upande mwingine nchi imenufaika na makosa yenu maana sasa kitanuka kweli kweli
Wewe unafurahia labda kwa sababu ni mnufaika wa mfumo huu wa CCM!Kwakweli mwaka huu mtafanikiwa kuficha aibu maana hamtashiriki uchaguzi.
Sasa chadema mmepata mwenyekiti anaeitisha CCM hayo ni mafanikio makubwa.
Hata CCM wanashukuru kwa ujio was Lissu sababu mwaka huu watashindana na mzee was ubwabwa tuu.
Chadema kazeni hapo hapo msishiriki uchaguzi.
Subiri muda wa kuchukua fomu uone Kama Lissu ataendelea na huo ujinga. Hata wewe Nina uhakika unafuata mkumbo tuu.Wewe unafurahia labda kwa sababu ni mnufaika wa mfumo huu wa CCM!
CCM haina jipya tena na siku ikiruhusu uchaguzi huru na wa haki imeisha!
Unataka kutuaminisha kana kwamba wote humu ni wajinga! Uchauguzi wa serkali za mitaa kwa akili yako yaliyotokea ni sawa?
Hao CHADEMA hata wakienda kwenye uchaguzi kwa mfumo na Tume hii Uchwara unadhani kutakuwa na ushindani wa haki?
Nendeni mkashindane na CHAUMA na Mzee Ubwabwa ila kwa mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuunga mkono uchaguzi wa kijinga na kipumbavu kama huu!
Wewe ni mpumbavu tu! Kwa hiyo unadhani maisha yako ndani ya siasa pekeake eti subiri muda wa kuchukua form!Subiri muda wa kuchukua fomu uone Kama Lissu ataendelea na huo ujinga. Hata wewe Nina uhakika unafuata mkumbo tuu.
Hi ni lopolopo tu ya Lissu atashiriki uchaguzi na wewe utaunga mkono Kila kitu.
Nyumbu hufuata aliye mbele akiingia mtoni wote wanaingia.
Uchaguzi mpaka sasa ,bila reforms ni batili, kama ni batili ,hata atakaeingia kwenye uchaguzi na kujitangaza ni batili apo sasa ndo Mtajua Dunia.Kwakweli mwaka huu mtafanikiwa kuficha aibu maana hamtashiriki uchaguzi.
Sasa chadema mmepata mwenyekiti anaeitisha CCM hayo ni mafanikio makubwa.
Hata CCM wanashukuru kwa ujio was Lissu sababu mwaka huu watashindana na mzee was ubwabwa tuu.
Chadema kazeni hapo hapo msishiriki uchaguzi.
Sasa huu upupu ndio nini umeandika, km huna akili kiasi hicho kaazime1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali
Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na mlichopata hakionekani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini kwa upande mwingine nchi imenufaika na makosa yenu maana sasa kitanuka kweli kweli
Chadomo ni mazuzuWanaccm hawajawahi kuwa na Aibu