sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Nimekuja Tena kama mwananchi wa kawaida kuipongeza CCM kwa makubwa iliyoyafanya nchi ila ni mda wao wapumzike WAKAE pembeni wajipange upya
Waruhusu uhuru wa demokrasia, vijana wasitekwe na kuuwawa kisa madaraka wafanye free and fair election washindwe WAKAE pembeni sio dhambi wakiendelea kung'angania watakuja kutoka kwa aibu na wasije kurudi kamwe