Zanzibar 2020 CCM mmesahau kuwa kwenye dini ya kiislam kufa ukitetea wanyonge ni ushujaa

Ndio maana inahitajika Cuf ili kuondoa zile kero zote wanazopata waislamu.
Muosha huoshwa: maalim sefu alipora chama kwa mapalala, kimemshinda sasa amehamia kuleeee kigoma. Forget about CUF, Chafua CCM
 
Funga kazi leo mgombea Urais wa CCM Zanzibar watu wamemwachia msikiti baada ya kuingia , wasema hawawezi kuswali na mnafiki mwaka huu CCM wataipata .
Myogopeni Mungu, mspeleke siasa na chuki zenu msikitini: mgombea anakuwaje mnafiki kabla ya uchaguzi?mlitaka CCM isiweke mgombea?, Hamuna jema nyie, mwataka vurugu tuuuu
 
Hii post ni woga wangu na simanzi kwa nchi yangu. Nawaomba wana CCM muamke, hamtaimba hayo mapambio kikiwaka.
Hakuna mshindi ndugu wakigombana. Ila CCM mna mengi ya kupoteza kuliko upinzani
Ila hujatuambia kwa usahihi kisababishi cha woga wako ni nini, hiyo CCM imefanya nini?
 
Kifungu gani kwenue hiyo koroani?
Acha uongo wewe nyumbu.
 
watakaofanya mambo yatakayosababisha mauaji mengine ya watu wasio na hatia huko Zanzibar nawashauri warejee yaliyowakuta waliofanya mambo yaliyosababisha vifo mwaka 2001 - mmoja tayari "amerejea" kwa Bwana na mwengine ni kipofu (machoye yashakufa haoni).

malipo ya ubaya au uzuri yanakuwaga hapa hapa duniani, hayasubiri intervention toka mbinguni!

Mungu ainusuru Zanzibar inshallah.
 
Kifungu gani kwenue hiyo koroani?
Acha uongo wewe nyumbu.
Naona wanaolipwa na CCM kupotelezea hoja ndio wameshtuka sasa kuhusu huu wosia unaotoa tahadhari juu ya amani ya nchi.
Kwa jinsi mlivyokurupuka kujibu ghafla leo kwa kweli mmetumwa.
Soma mara mbili nini nimeandika kabla hujaropoka pumba!!

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…