MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 384
- 418
Kwa uelewa wangu hawakukatazwa mkuu, waliambiwa nafasi zao za kuteuliwa hazitaachwa wazi, ukiomba likizo ili ukagombee ubunge nafasi yako inakua replaced hakuna back up plan kama Miaka ya nyuma
wengi Wa wateule wa mh Raisi waliogopa kujitosa kwa Sababu ya kuogopa “mtaka mawili moja umponyoka“
hao wateule waliojitosa kwenye ubunge ni mashujaa na inaonesha kwa jinsi wasivyo waroho wa madaraka waliona liwalo na Liwe ilimladi wasimamie wanachokipenda
Kwa kweli sasa nimepoteza imani na hiki chama, kina uongo, ghiliba, na unafiki wa kiwango cha bombadia.