CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning.

Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji?

Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata maarifa. Leo hii mna mitaala ya kipumbavu.

20230110_201735.jpg
 
Kwani betting ni kinyume na sheria?

karibuni katika uzi wetu pendwa

 
Mawaziri Wa Aina Hiyo Ni Kufutwa Kazi Saa Hiyo Hiyo
 
Back
Top Bottom