Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Jan 10, 2023 #1 Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata maarifa. Leo hii mna mitaala ya kipumbavu.
Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata maarifa. Leo hii mna mitaala ya kipumbavu.
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Jan 10, 2023 #2 Kwani betting ni kinyume na sheria? karibuni katika uzi wetu pendwa Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote... www.jamiiforums.com
Kwani betting ni kinyume na sheria? karibuni katika uzi wetu pendwa Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote... www.jamiiforums.com
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Jan 10, 2023 #3 Watawashawishi kivipi?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 10, 2023 #4 Mawaziri Wa Aina Hiyo Ni Kufutwa Kazi Saa Hiyo Hiyo