Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Rushwa hupofusha macho ya wenye akili. Wamehongwa hanna atakaye weza kujibuTumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari.
Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria itakayotumika ni ya Uingereza!
Swali; je kukitokea dispute ( kutokuelewana) katika utekelezaji wa mikataba ,ni nyaraka ipi itakayotumika katika kutatua mgogoro huko Afrika kusini ni IGA au HGA?
Prof.Kitila Mkumbo,Wassira, Sofia Mjema na Chongolo tunaomba ufafanuzi.
Jibu swali sasa! Wewe unadhani mimi sijui maana ya neno " inter" ?! Najua wewe ndo hujui kuna hadi " intra" ! Jibu swali langu na uache kukaririshwa na CCM upupu!INTER REGION AGREEMENT
INTER GOVT AGREEMENT
INTER SCHOOL AGREEMENT
INTER CHURCH AGREEMENT
Hii kitu si chochote,ni makubaliano ya kushirikiana kwa ukaribu Fulani wa kipekee!,and it's quiet different na mkataba Fulani wa kiutendaji JUU ya suala Fulani.
#mtoa mada CCM IPO sahihi kabisa.
(Running mutual agreement)Jibu swali sasa! Wewe unadhani mimi sijui maana ya neno " inter" ?! Najua wewe ndo hujui kuna hadi " intra" ! Jibu swali langu na uache kukaririshwa na CCM upupu!
Wewe pia eleza usahihi wa CCM uko wapi au kwenye nini!
Nyie ndo mnaaminishwa na Sofia Mjema kwamba Bandari haijauzwa kwa kuwa haijawekwa kwenye kiroba!
Vyote viwiliTumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari.
Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria itakayotumika ni ya Uingereza!
Swali Kukitokea dispute (kutokuelewana) katika utekelezaji wa mikataba ni nyaraka ipi itakayotumika katika kutatua mgogoro huko Afrika kusini ni IGA au HGA?
Prof. Kitila Mkumbo, Wassira, Sofia Mjema na Chongolo tunaomba ufafanuzi.
Kinafanya agreement isiwe contract ndio hiki, agreement haina wajibu wa kisheria, mkataba ndio wenye wajibuSwali Kukitokea dispute (kutokuelewana) katika utekelezaji wa mikataba ni nyaraka ipi itakayotumika katika kutatua mgogoro huko Afrika kusini ni IGA au HGA?
Haya mambo ya kuomba ufafanuzi kwa watu wasio members humu sio poa!.Prof. Kitila Mkumbo, Wassira, Sofia Mjema na Chongolo tunaomba ufafanuzi.
P kua muelewa basi! Wapo think tank wao humu juu ya suala la DP world lkn hua hawatupi ufafanuzi. Waje hapa watoe majibu.... Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMARS Lord denning The bossKinafanya agreement isiwe contract ndio hiki, agreement haina wajibu wa kisheria, mkataba ndio wenye wajibu
Haya mambo ya kuomba ufafanuzi kwa watu wasio members humu sio poa!.
Wenye majibu wanaweza wasijitokeze kwasababu wewe umewauliza kina fulani!.
P
Ukiuliza hili swali kwenye mikutano yao utaambulia kipigo.Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari.
Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria itakayotumika ni ya Uingereza!
Swali Kukitokea dispute (kutokuelewana) katika utekelezaji wa mikataba ni nyaraka ipi itakayotumika katika kutatua mgogoro huko Afrika kusini ni IGA au HGA?
Prof. Kitila Mkumbo, Wassira, Sofia Mjema na Chongolo tunaomba ufafanuzi.
Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba,
Kamwe hakuna CCM wa kujibu kuhusu huu wizi waliofanya hawa watu!Swali Kukitokea dispute (kutokuelewana) katika utekelezaji wa mikataba ni nyaraka ipi itakayotumika katika kutatua mgogoro huko Afrika kusini ni IGA au HGA?
Wala tusiwe na shaka tena maana hila zao zimeshafeli. IGA waliyosaini na kuidhinishwa na bunge kijinga ni non and void kwa sababu imevunja sheria ya mali asili sheria ile waliyoghairi kubadilisha. Hata wangebadilisha ingekua non and void maana mkataba uliingiwa kinyume na sheria sema wangeweza kujenga hoja za kibabaishaji.Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari.