GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tena Mwenyekiti Taifa CCM ( Rais Samia ) kama Wasaidizi wako wanakuficha sasa Mimi GENTAMYCINE leo 'nakuchana' Mubashara hapa hapa kuwa kwa 85% unazungukwa na Wanafiki na Maadui zako ambao tayari wameshakupima na Kukuona ni Mwepesi kwa Mipango yao 'Ovu' Kwako hivyo shtuka mapema kabla yale ya tarehe 17 Machi, 2021 yakajirudia.
Hawa akina Polepole, Slaa na Gwajima ni kama Askari Migambo Vitani ambao Kazi yao Kuu ni Kutangulizwa uwanja wa Mapambano ili Kupima uwezo wa Adui Mkuu ila Maadui zako unao, unawapenda na nasikia kuwa pia unawaamini sana tu.
Kuna Wawili wapo 'Msaada Kontena' ulishaambiwa uwatoe hutaki kuna Watatu wapo mkabala na Kituo cha Palm Beach ulishaambiwa waangalie kwa umakini husikii na Kuna Watano uko nao katika Serikali yako hii uliambiwa hata usiwateue ila umewateua na ndiyo Vinara Wakuu wa kutaka Kukuangusha usifaniwe.
Rais ukishauriwa uwe unashaurika Oky?