Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Chadema wamekura rushwa ili wasishiriki uchaguzi kwa kutoa sababu za kijingaNimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbia Chauma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole tuambie tujadili nini kilichopo.
Kwa hiyo chadema sababu zao ni za kijinga kweli waafrika tuko kwenye Evolution ya kua binadamu kamiliChadema wamekura rushwa ili wasishiriki uchaguzi kwa kutoa sababu za kijinga
Za kijinga kupita kiasi.Huwezi kukimbia uchaguzi alafu unata kushika dola ili ufanye mabadiliko unayoyataka.Chadema kwa uamuzi wao wamepotea njia.Kama wewe ni mshauri wao hufai kabisaKwa hiyo chadema sababu zao ni za kijinga kweli waafrika tuko kwenye Evolution ya kua binadamu kamili
Mwaka 2020 hawakukimbia, wakashiriki. Iliwasaidia Chadema kwa Chochote? Wameyapata mabadiliko? Wameshika dola? Wale wanaoshiriki uchaguzi na nyinyi supporters wao, mna shida kwenye umeme wa bongo zenu. Otherwise uwe unaongea kama kada mwenzangu wa CCM kwani ushiriki wa Chadema unatusaidia kuhalalisha uchafuzi wetu kwenye corridor za kimataifaZa kijinga kupita kiasi.Huwezi kukimbia uchaguzi alafu unata kushika dola ili ufanye mabadiliko unayoyataka.Chadema kwa uamuzi wao wamepotea njia.Kama wewe ni mshauri wao hufai kabisa
Shida Mifumo ya uchaguzi haitoi uchaguzi huru na hakiNimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbilia Chaumma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole tuambie tujadili nini kilichopo.
Ni kweli kuwa chadomo wamesusa uchaguzi bila sababu za msingi. Kwani hata kama wao hawashiriki vyama vingine 18 vitashiriki hivyo uchaguzi hauwezi kukosa uhalali kama ilivyokuwa mwaka 2020 ambapo si vyama vyote vilishiriki.Mwaka 2020 hawakukimbia, wakashiriki. Iliwasaidia Chadema kwa Chochote? Wameyapata mabadiliko? Wameshika dola? Wale wanaoshiriki uchaguzi na nyinyi supporters wao, mna shida kwenye umeme wa bongo zenu. Otherwise uwe unaongea kama kada mwenzangu wa CCM kwani ushiriki wa Chadema unatusaidia kuhalalisha uchafuzi wetu kwenye corridor za kimataifa
Sasa unateseka na nini? Kwa nini kila mara kuumia? Wamewaachia ili mpate ushindi wa kishindo na mfurahie. Ya nini ikuume?Ni kweli kuwa chadomo wamesusa uchaguzi bila sababu za msingi. Kwani hata kama wao hawashiriki vyama vingine 18 vitashiriki hivyo uchaguzi hauwezi kukosa uhalali kama ilivyokuwa mwaka 2020 ambapo si vyama vyote vilishiriki.