Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Anachopinga nadhani ni admin kuweka hilo tangazo. Ndio sababu kasema waje wao wenyewe wajisajili na kuweka tangazo wao wenyewekama members hapa kama chadema wafanyavyoSioni sababu ya kuliondoa ili tangazo hapa, mbona ya Chadema ya napo we kwa hapa na wasiyo wausika hamsemi ya tolewe?
Nakushukuru tena kwa mwaliko huu, wife wangu ni CCM damu, mimi nitamsindikiza na nitachangia kwa moyo wote ili kulinda amani ya familia na kusocialize.
Tangazo kama hili lina neutralizes sentiments kuwa JF ni pro- Chadema. Wana Chadema wengi wamo humu kwa majina yao kwa vile wana feel wako free, wanaCCM kama Nape, pia waliingia kwa majina yao lakini wako kimya labda kwa hisia hizo hizo kuwa JF ni jukwaa la Chadema,tangazo kama hili ni uthibitisho tosha kuwa JF ni zaidi ya itikadi za vyama.
Nakushukuru tena kwa mwaliko huu, wife wangu ni CCM damu, mimi nitamsindikiza na nitachangia kwa moyo wote ili kulinda amani ya familia na kusocialize.
Pasco! si kweli kwamba Nape anaogopa kuwa hiki ni kijiwe cha Chadema bali anaogopa sisi M wenzie! mbona umeogopa kusema ukweli huu? Hapa ni mahali huru na kila mtu anajua. Kama ni hivyo yeye angekuja kukutana na challenges tu na atetee chama chake. Ila kama ujuavyo mara nyingi wao hukwepa hoja maana hawana jinsi ya kuzitetea.
Hivi wewe ni nani humu ndani? maana naona unafundisha kazi watu sasa ? MODS wataliondoa endapo wataona kuna sababu ya kufanya hivyo .
We endelea na mlengo wako wa kushoto hakuna aliyekuambia uwe kwenye mlengo wa kulia!
tuko pamoja mkuu, kwanza kwa nini, tuchangie CCM? na si kuchangia huduma za afya,, na kuwasapoti watoto yatima kwa kuwapa angalau uweoz wa kupata mkate mmoja kila siku asubuhi?
Mie sijaongelea mambo ya CHADEMA na siyo mwanahcma wa CHADEMA.siku zote huwa mnapotea sana kwa kuzania kila anayeponda mabaya ya CCM ni CHADEMA.Jibu hoja na siyo kuleta vioja na kubwabwaja.
Mie ni mtu mwenye Mlengo wa kushoto na hapa sikuangalia itikadi za chama chochote ila mstakabali wa taifa.
Naomba Invisible kwa Heshima na kutumia jamiiformus kusupport jambo hili haututendei haki hata kidogo.Kwa taarifa yako ningekupinga hata kama Mkuu angeleta tangaz la CHADEMA.
sure these guy is dangerous for our nation, we've to fight them by any means, mentality, physicaly and humantarianswala la ccm kuomba mchango wa pesa ni sawa na majambazi kuomba mchango wa silaha.
tuwachangia hili waendelee kutuongezea umaskini?
Naomba kuuliza kama nimesikia mchango sasa utafanyika leo na sio kesho ili kutoa nafasi kesho watu waende Kili Music Awards?
Kwa mawazo yangu, kuahirisha mchango serious kwa mustakali wa CCM Kilimanjaro kwa ajili ya Kili Music Awards is very wrong kwa sababu wengi wa wachangiaji wabwa wa CCM sio kwamba wanachangia kwa sababu ya mapenzi yao kwa CCM, bali kwa ajili ya ama ajenda zao, ama kusafeguard status quo za ufisadi wao ambao its only CCM can guatantee them, hivyo sio watu wa type ya Kili Music.Sijapata hizo taarifa ndugu ndio nasikia toka kwako, kama ni kweli jamaa wata kuwa ni watu makini sana kwani ingefanyika kesho watu wengi wange kimbilia Kili Music Awards na hivyo wao kukosa wauzuriaji wengi na hivyo kufanya harambee yao kutofanikiwa .
MM3, harambee ilifanyika jana kama ilivyotangazwa. CCM yavuna mamilioni! Leo itaripotiwa kwenye broadcast news na kwenye print kesho.Harambee ilifanyika? haikufanyika??