Mkuu hawa ni mashetani........tuwaonyeshe tarhe 31 Oct.
Sio hapo tu, pale salenda wanaweka bango la kufa mtu, hairuhusiwi. na jamaa wanapiga kazi usiku, na hawaongei na mtu yeyote..wapo kama mabubu, hata polisi wenyewe wa salenda wameuliza, jamaa hawajibu, wanachapa kazi tuu!