CCM na CHADEMA wanatufanyia maigizo

CCM na CHADEMA wanatufanyia maigizo

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Hali dhofri waliyonayo Chadema ambayo hata CCM asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo kuna ka-drama kanafanyika ili kuonyesha upinzani uko active kwa watazamaji. Jamani waacheni hao Chadema mnawapa hadhi wasiyokuwa nayo
 
Hali dhofri waliyonayo Chadema ambayo hata CCM asipofanya kampeni atashinda lwa kishindo kuna ka- drama kanafanyika ili kuonyesha upinzani uko active kwa watazamaji. Jamani waacheni hao Chadema mnawapa hadhi wasiyokuwa nayo
Sasa mbona hata wewe unawapa hadhi hivyo hivyo. Watanzania siyo wajinga mpaka uwasemee wewe kama unaona drama nenda tu kwenye chama ambbacho unaona hakina drama.
 
Back
Top Bottom