Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mimi huwa najiuliza sana kwanini hawa CHADEMA kila ikifika uchaguzi ni kuiponda Serikali halafu baadae kura zikishahesabiwa wanalialia wameibiwa. Hivi wana akili timamu kweli kila siku mnalia mmeibiwa halafu uchaguzi ujao mnashiriki ndio nikaja kugundua kumbe wote ni matapeli tu.
Amini nawaambia siku CHADEMA akishika nchi hii ataiba kama CCM wanavyoiba ndio maana mimi nasema sitoingia barabarani kuandamana Ili nife nizikwe nioze kwaajili ya mtu kama Mbowe ambalo ni Diktekta wa uongozi mpaka kwenye chama chake hataki kuachia uenyekiti
Hii nchi bora ingekuwa inaruhusu mgombea binafsi ila sio haya majizi ya CCM na CHADEMA ukitaka uamini CHADEMA nayo ni majizi kama CCM. Angalia wabunge wao maeneo waliyoyaongoza.