Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Baada ya mdahalo wa siku ya ijumaa tarehe 29/11/2010 kati ya wananchi wa Tanzania na mgombea wa CUF kundi fulani ambalo lilikuwa LIMPIGIE kura mgombea wa CCM litazigawa kura hizo na kumpa mgombea wa CUF, na hivyo kupunguza kura za mgombea wa CCM hili litakuwa jambo zuri sana kwa vyama vilivyobaki.