Elections 2010 CCM na CUF kugawana kura

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
680
Reaction score
168
Baada ya mdahalo wa siku ya ijumaa tarehe 29/11/2010 kati ya wananchi wa Tanzania na mgombea wa CUF kundi fulani ambalo lilikuwa LIMPIGIE kura mgombea wa CCM litazigawa kura hizo na kumpa mgombea wa CUF, na hivyo kupunguza kura za mgombea wa CCM hili litakuwa jambo zuri sana kwa vyama vilivyobaki.
 
Hasa Kama watu watapiga kura kwa kutumia "udini" wao, kitu tunachoomba kisitokee.
 
what if Prof. Mapumba ata-withdraw his contest and offer support for Kikwete?
 
what if Prof. Mapumba ata-withdraw his contest and offer support for Kikwete?

Haitakuwa na impact kubwa, itakuwa imebaki siku moja tuu, sana sana atakimaliza chama chake, wataka mabadiliko watampa Dr.
 
Na habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa on the same day JMK atakuwa na mdaharo kituo kingine cha TV...patamu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…