GE2025 CCM na harambee ya bilion 100 kwa ajili ya uchaguzi mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We ndio mjinga kufuatilia mambo yasiyokuhusu
 
Mbele kwa nani, kila zama na kitabu chake
 
That is called Money laundering, CCM hasa wale Wahuni aliowataja Polepole wana ukwasi mkubwa ambao sehemu kubwa wamepata kwa njia nyingi haramu, kwa hiyo wanatumia CCM na viongozi wake kusafisha hizo pesa
JPM ALISEMA "mtanikumbuka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…