Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Watamfundisha MEKO kuwa Mbowe ni KAKA, asubirie aone

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nimepatatu picha kwamba Mbowe amekua tishio kubwa sana kisiasa.
Sijawahi kusikia mheshimiwa akimjadili mbunge kwa kina kama alivyomuelezea Mbowe leo pale Bomang'ombe
Lissu alisema yote pale Moshi aliposema kwamba bila Chadema Tanzania hii ingekuwa tofauti sana na kwamba bila Mbowe Chadema nayo ingekuwa tofauti kabisa. Mbowe ameumizwa sana katika miaka hii mitano. Ajabu ni kwamba yeye ndiye analaumiwa sasa kwamba ameumiza watu wengine!
 
Maendeleo hayana chama, maana yake wananchi wa chama chochote wanaweza kumchagua mgombea yoyote mwenye uwezo wa kuwaletea maendeleo. Sasa kama majimbo yanayoshikiliwa na upinzani yameshindwa kuwaletea maendeleo wananchi kwanni wanachama wao wasiichague CCM.
 
Mkuu ungetakiwa uandike kuhusu mada iliyopo hewani..! Sasa hicho ulichoandika umechangia nini kwenye mada??! Acha mahaba

ni sehem moja yapo ya kuonyesha nyie sio mazima, pale ambapo mnaonekana sio wazima lazima tuseme
 
Katiba yetu ingekuwa inalazimisha viongozi wakuu kupimwa afya kwa lazima hasa afya ya akili, hakika majibu ya mzee wetu yangeishangaza dunia
Nyinyi na yule kichaa wenu wa ubelgiji ndo akili zenu zimepungua. Lissu ukimuangalia tu usoni unaona kabisa hamnazo.
 
..hotuba za Jpm zinamaanisha kwamba ilani ya ccm haina maana.

..katika utawala wake ili maendeleo yapatikane shurti mbunge akampigie magoti.
Mwenyewe anakwambia serikali yangu hasemi serikali ya CCM!
 
Chacha wangwe naye ni CCM wanahusika? Huoni hata aibu?
 
Nimepatatu picha kwamba Mbowe amekua tishio kubwa sana kisiasa.
Sijawahi kusikia mheshimiwa akimjadili mbunge kwa kina kama alivyomuelezea Mbowe leo pale Bomang'ombe

Politics demands you to mobilise victors through an object or things done or policies of the person- thats is standard in politics. anything contrary is not in politics. What Maguli is doing it is what pilitical mobilisation against a competititor demands.

Like wise the opposition today is mobilised against Magufuli and his policies, thats how politics is conducted. The opposition was right as Magufuli is.

Politics - is activities geared to controling power for distribution of resources and status. That is polical gold standard, any thing contrary is a lie.
 
Kuna mambo hua yanafurahishaga sana...

Mwisho wa ubaya ni aibu...



Cc: mahondaw
Aibu kula ruzuku, michango ya wabunge 1.5Mil kila mbunge, bila haya. Hili genge la wahuni, lazima litokomee. Lissu akiwa moshi juzi amelazimika kuomba michango yani kama omba omba huku mwenye chama yupo tu anachekacheka jukwaani. Mshindwe tu, wachumia tumbo na mawakala wa mashoga ninyi.
 
Mropokaji
 
Kama dhambi ya uongo ipo kweli uongozi wa malaika tutausikia tu
 
Alaaniwe huyo mbaguzi, ndo maana Magonjwa ya zinaa yamemla vimiguu vimebaki kama mikono
 
Nimepatatu picha kwamba Mbowe amekua tishio kubwa sana kisiasa.
Sijawahi kusikia mheshimiwa akimjadili mbunge kwa kina kama alivyomuelezea Mbowe leo pale Bomang'ombe
Kule Kenya Raila na Kenyatta wameungana wanajenga nchi, hapa kwetu bado tunapuuzana !
 
TushaAndaa vikatio.
 
Amebaki kutumia taasisi za serikali kujaza watu kwenye mikutano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…