Elections 2010 ccm na kikwete mapinduzi na uongo wenu tumeukataa. "Tanzania ni mali ya Watanzania"

Elections 2010 ccm na kikwete mapinduzi na uongo wenu tumeukataa. "Tanzania ni mali ya Watanzania"

Joined
May 27, 2011
Posts
86
Reaction score
19
Tumegundua uongo, rushwa, kujikweza, ulevi, ubaguzi wa udini na sasa tunauona ubaguzi wenu wa ukabila. Credibility hamna hata mkitumia vyombo na fedha kiasi gani za wananchi, Taifa limeshawageuka. Kwa taarifa yenu Tanzania itabaki mali ya watanzania na mikononi mwa Watanzania.

Mapinduzi mliotuletea ni sawa na kuwa chini ya mkoloni na utumwani. Njama za kuingiza "Martial law na kui-ignore justice and security ya wananchi hatutawaachia kwamwe na hatutanyanyua mikono juu, tutawaona jela tu.

Wabunge wawatimua mawaziri wa Kikwete

FFU, wanafunzi wapambana

Kiapo cha Mkapa chazua mjadala


 
Wacha jasho na damu za wanyonge ziwahukumu. U cant stop revolution idea by Zito kabwe MP, 2008.
 
Back
Top Bottom