Ccm na makamanda

Ccm na makamanda

Iron

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2008
Posts
363
Reaction score
150
Naomba msaada jamani.Kingunge ni mmoja wa makamanda wa vijana CCM. Ila kwa tafsiri halisi ya ukamanda kama vile sielewi vizuri. Naomba nisaidiwe maana ya ukamanda wa vijana CCM na kazi zake at least nielewe.
 
Back
Top Bottom