Iron JF-Expert Member Joined Sep 4, 2008 Posts 363 Reaction score 150 Sep 12, 2008 #1 Naomba msaada jamani.Kingunge ni mmoja wa makamanda wa vijana CCM. Ila kwa tafsiri halisi ya ukamanda kama vile sielewi vizuri. Naomba nisaidiwe maana ya ukamanda wa vijana CCM na kazi zake at least nielewe.
Naomba msaada jamani.Kingunge ni mmoja wa makamanda wa vijana CCM. Ila kwa tafsiri halisi ya ukamanda kama vile sielewi vizuri. Naomba nisaidiwe maana ya ukamanda wa vijana CCM na kazi zake at least nielewe.