ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Mbinu za ccm za kuharibu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpyaa zimeanza kujidhihirishaa wazi.uku wilaya ya moshi vijijini wamewaita wajumbe wote wa mabaraza ya katiba etii ambao ni wanachama wa ccm,ili wawapandikize mawazo yao ya ccm kuhusu rasimu ya katiba na hii ni wazi wamefanikiwa kwa upande wa moshi vijijini baada ya jana kufanya mkutano na wajumbe wa mabaraza ya katibaa wa wilaya ya moshi vijijini
Kinachoonekana ni wazi kwamba hawa wajumbe wamekuwa lobbied jana na ni dhahiri watakayoyatoa maoni yatakuwa si yenye interest na wananchi,bali ni CCM
last week mwenyekiti wa tume jaji mstaafu joseph warioba alitoaa wasaha kwamba mabaraza ya katiba hayatakiwi kuingiliwaa na taasisi yeyote aau chama.sasa cha kushangaza ccm wameanza uchafu huo kwa kuyaingilia na kuyarubuni
MY TAKE:attention kwa wananchi waliohusika kwa namna moja au nyingine katika kuwachagua wa wakilishi ambao watakuwa wajumbe na kuwawakilisha katika mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ambayo inategemewa kuwa tayari kabla ya 2015.kwamba wajumbe ambao mnawategemea na kuwaamini kwamba watawakilisha maoni yenu imekuwa kinyume sasa bali wengi wao watawakilisha maoni yenye matakwa na ccm..2.attention kwa jaji warioba,mabaraza ya katiba ya moshi vijijini ayafute haraka kwa sababu yameshaingiliwaa na ccm na kokote kwenye wilaya yeyote patakaposikika tuhuma hizi..na pia na kuwapa onyo kali chama cha mapinduzi.