CCM na Muungano vyote havitakiwi na Wazanzibari; kwa nini wanalazimishwa?

C C M ni chama kinacholeta kero, kinatatua kero, kisha kinajinasibu
 
Kumbe hakuna chama Cha siasa Zanzibar, vyote Wana import kutoka huku. Na viongozi wakisiasa wanachaguli huku wao wanapelekewa tu.
Kweli, bila bara hakuna Zanzibar.
Imagine, nyama watatoa wapi, nyanya, umeme n.k
 
C C M ni chama kinacholeta kero, kinatatua kero, kisha kinajinasibu
Ukimsikiliza Nape na baadhi ya mawaziri wenzake unaweza ukahisi Magufuli alitokea chama Cha upinzani.
Unaweza ukahisi nchi ilipata Uhuru 2021.
 
Ukimsikiliza Nape na baadhi ya mawaziri wenzake unaweza ukahisi Magufuli alitokea chama Cha upinzani.
Unaweza ukahisi nchi ilipata Uhuru 2021.
Kwani kile kitendo cha Nape kutembea kutoka getini Ikulu hadi kwenda kumlamba Magufuli viatu unafikiri kidogo!

Pale aliona amepata uhuru!
 
Hao nje ya Muungano, watakuwa kama Comoro, watagawanyika na kuunda shirikisho lao au mwaarabu atawatawala, maana wanawathamini sana waarabu.
Hawajioni kama wao ni Binadamu, bila uwepo wa mwarabu.

sasa wewe unaumia nini ikiwa hivo?
 

basi na pia muache kulialia
 

Nje ya muungano wapemba wataitawala Unguja ndani ya dakika sifuri tu, kwahiyo suala la kutengana halipo kabisa. Waunguja ni vilaza wanaekwa active na CCM tu ambayo nje ya muungano inakufa ndani ya nusu saa.
 
Kwa mawazo yangu katika katiba ijayo, Tanzania iwe nchi ya majimbo. Wanànchi wa Jimbo husika wamchague gavana wao . Serikali ya Jimbo iwe na mawaziri wake chini ya gavana.
Tanga, Arusha, RUVUMA etc yawe majimbo.
Zanzibar iwe Jimbo na Pemba iwe Jimbo.
Federal president awe mmoja na achaguliwe na wanànchi wote.
Hizi habari za kero, kuonekana zitakwisha zote.
 
Lakini vile vile kumbuka unguja na pemba hawakuungana kama ilivyo shinyanga na mtwara
 
Hiyo ndiyo sera ya Chadema kwamba kila Jimbo lichague viongozi wake na siyo hawa wa mchongo Wakuu wa wilaya na mikoa.

Aidha kuwepo kwa majimbo kutapunguza idadi ya mikoa na hivyo kupunguza gharama za utawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…