fdizzle JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,902 Reaction score 2,396 Aug 20, 2020 #21 Hiyo ni mbinu mpya watakyoitumia kwa majimbo yote hapo wanatest mitambo. Mkizubaa utaratibu utakuwa huu kwa majimbo yote na upinzani hautasimamisha mgombea hat mmoja. Hao wa CCM wametumika kama "case study" tu ila lengo ni wapinzaini.
Hiyo ni mbinu mpya watakyoitumia kwa majimbo yote hapo wanatest mitambo. Mkizubaa utaratibu utakuwa huu kwa majimbo yote na upinzani hautasimamisha mgombea hat mmoja. Hao wa CCM wametumika kama "case study" tu ila lengo ni wapinzaini.
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,718 Reaction score 5,899 Aug 20, 2020 #22 Hili wala halitoshangaza