CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia!
Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake kama anafaa atachaguliwa tu sio kuwaogopesha watu ikiwemo kushughulikiwa!
Kwa maana iyo CCM na nyie jifunzeni kwa CHADEMA msitoe fomu Moja ya kugombea URAIS waacheni wanaotaka na wao wachukue fomu tutawapima kama wanafaa ama awafai ndio demokrasia!