Tena sio kutoa fomu moja tu, yoyote anayetaka achukue kisha waingie kwenye midahalo wauze sera zao na waulizwe maswali magumu. Kwenye hili imedhihirika cdmni chama cha kidemokrasia kwa vitendo. Ccm huwa wanahubiri ni chama cha kidemokrasia lakini uhalisia unakataa.CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia!
Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake kama anafaa atachaguliwa tu sio kuwaogopesha watu ikiwemo kushughulikiwa!
Kwa maana iyo CCM na nyie jifunzeni kwa CHADEMA msitoe fomu Moja ya kugombea URAIS waacheni wanaotaka na wao wachukue fomu tutawapima kama wanafaa ama awafai ndio demokrasia!
Hawana ubavu huo !CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia!
Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake kama anafaa atachaguliwa tu sio kuwaogopesha watu ikiwemo kushughulikiwa!
Kwa maana iyo CCM na nyie jifunzeni kwa CHADEMA msitoe fomu Moja ya kugombea URAIS waacheni wanaotaka na wao wachukue fomu tutawapima kama wanafaa ama awafai ndio demokrasia!
ππΏπͺπΏCHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia!
Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake kama anafaa atachaguliwa tu sio kuwaogopesha watu ikiwemo kushughulikiwa!
Kwa maana iyo CCM na nyie jifunzeni kwa CHADEMA msitoe fomu Moja ya kugombea URAIS waacheni wanaotaka na wao wachukue fomu tutawapima kama wanafaa ama awafai ndio demokrasia!
waoga na huwa wanakuwa wadogo kama piriton kwa uoga !Thubutuuu
Unaweza ukakiharibu π³π !"Kama kinafanya kazi usitengeneze."
Lakini itapendeza utaratibu huo upangwe uje uanze kutumika kuanzia 2030 !CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia!

ππΏπͺπΏ