kwenye taarifa ya habari TBC1 leo nimemuona mzee Makamba anaropoka kama kawaida yake alisema: wanataka mdaharo ila lazima wajue niwatugani wanaenda kukutanao yaani siku ya mdaharo, maswali yapi yataulizwa siku hiyo akaendelea kusema siyo unawakusawa watukutoka kariako harafu unataka wawaulize maswali si watawaambia jana hawajala na ccm ndiyo imesababisha...na mwisho kasema maswali yawe ndani ya ilani zao....wewe mzee wewe mnataka kuchakachua mpaka maswali…
maswali yapi yataulizwa siku hiyo a…
Nilimshangaa ma-kamba nilipomsikia anawaponda waalikwa wanaokwenda katika midahalo hiyo kwamba ni watu ovyo, nilishangaa sana.
Hawa ndio aina ya viongozi wetu. Hawa ndio wanataka tuwapigie kura.
Yeye anataka mdahalo au moderate yeye. hahahahahaha labda kwa sababu vichwa wazi wa bumbuli (sorry to mention this) wamempa zawadi ya ubunge kijana wake sasa anatukana waliobaki bila haya?
Ma-kamba ni mshenzi na hana hata chembe ya ustaarabu, wala hakufaa wala hatawahi kufaa kuwa kiongozi.
Sisi m mtajuta kwa nini mlimuweka kilaza huyu katika uongozi wa juu namna hii madarakani.
Mropokaji ni ma-kamba. Kamwambie yeye kwanza.Acha kuropoka! fikiria kabla hujaropoka:confused2: