Elections 2010 CCM Na vijizawadi hawajambo

dazenp

Senior Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
101
Reaction score
12
Cheeecheeee cheee ...........unapata dezo dezoooo.....mali zao sitaki kuuacha....sera zao hazilipiii....we CCM weee umeumbukaaa.......

Jana nimekuta store moja imesheheni mzigo huuu huku Arusha nasikia ni Mpango wa kugawa....kwa wananchi wa Arusha pamoja na Tanzania Shillings 5000, mpaka 10000....yaani wanakandia chama pinzani eti wanasema SIE Chadema kiongozi wetu DR.SLAA ana pepo wa ngono....je kauli zao zinamaanisha nini?????

Mwaka huu CHADEMA TUUUU.....jana nimemsikia kiongozi wa kweli mwenye uchu na rsilimiali ya nchi yake....mwenye kunisisimua na kuamsha ARI,NGUVU NA KASI ZAIDI YA KUIPIGIA CHADEMAAAAA

Kwanini niwe mfungwa wa mawazo na fikra,masikini wa utajiri katika nchi yenye rasilimali ya kila aina.....KURA YANGU CHADEMA MWAKA HUUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…