Pre GE2025 CCM na vyama vingine vipo mitaani na mitandaoni kutafuta kura cha uchaguzi wa mitaa, CHADEMA wapo Mahakamani kupinga uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri sana.

Wapo mitandaoni kutukana viongozi wenzao wapo mitandaoni kusaka kura

Ccm wameshashindwa kupata ushindi halali kwa njia ya kura, walichobakiza ni kunajisi uchaguzi. Hivyo vyama vingine labda ACT huko Znz na sio huki bara. Hivyo vyama vingine ni kama vinafurahisha genge. Inshort ccm haitegemei kura kukaa madarakani.
 
Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri sana.

Wapo mitandaoni kutukana viongozi wenzao wapo mitandaoni kusaka kura

USSR
Ccm walishinda lini kupitia sanduku la kura?
 
Back
Top Bottom