CCM na VYAMA VIPYA 2005 WALIPASWA KUGAWANA MALI ZA ''TANU NA CCM'' kabla ya 2002

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
Nape mdudu gani, hajui hata mali za nchi wanazo ccm? muda tu unakuja ccm haina kitu, watanyang'anywa

Wakati wa chama kimoja sote tulipaswa kudai mali ya TANU NA CCM kabla ya MFUMO HUU WA VYAMA VINGI,

Mali za nchii hii mgawanyo hauja kaa vizuri. mwalimu alilisahau hili! ametuachia mgogoro.

wanasheria mnaficha nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…