Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........
Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha hivi....
Halafu msanii akishafulia kama dokii ukija kumuona
kwenye mkutano wa ccm ....
You just feel pity..........
Wasanii hawa nimeona kama wamejishusha hivi.....
Sijui nyinyi mnaonaje........
sasa dokii hajafulia au?
Ni kweli hawa wasanii wanaipenda ccm?
Hawa wana ganga njaa tu,
wamefulia....
nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........
Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha hivi....
Halafu msanii akishafulia kama dokii ukija kumuona
kwenye mkutano wa ccm ....
You just feel pity..........
Wasanii hawa nimeona kama wamejishusha hivi.....
Sijui nyinyi mnaonaje........
lets say im dokii's manager.....ccm people called me asking for my client to play at their whatever they call it...... No prize for guessing my answer.......its business......it doesnt matter ni ccm,ccj,nccr,tlp etc.....wanaishi kwa kupiga muziki na wanahaki ya kupiga kwa yeyote bila kujali ni chama gani
...the probrem here starts with CCM coming to you Manager wa Msanii aliyefulia in the first place! Birds of feathers...? :roll:
Kufulia ndi chanzo..
Marekani huwezi mwita akina beyonce
kuwaburudisha republicans hata kwa bei gani.......
Wana jeuri ya kukataaa.......
Hawa kina dokii hawana jeuri hiyo.........
Siyo biziness tu, lazima uwe na conviction pia na kile unachokifanya. Kuna mambo unapoyafanya yanakupambanua ulikoelekea. Huwezi kutofautisha sana kati ya kile unachokisema/kukiimba na kile unachokiamini. Vinginevo ni unafiki wa hali ya juu ya sana. Kwa hiyo hapa si suala la baishara tu, ni zaidi ya biashara. Huwezi kumuimba Kikwete kwamba ni kiongozi bora, na CCM ni nambari One halafu usiwe na imani na hicho nìunachokisema/kiimba kwa kisingizio kwamba hiyo ni biashara tu. Itakuwa ni ajabu. Lazima kwa namna moja au nyingine semina tungo hizo zikupambanue upande uliolalia. Na ni sawa kabisa. Kama hao wasanii wasingekuwa wanaipenda CCM na uongozi wake hata kama wana njaa wangekataa tena kistaarabu tu kushiriki tukio hilo. Ukumbuke waliombwa hawakulazimishwa.whats the problem??its business
jamani mimi huyu ndo amenisikitisha kabisa.........ni mpendwa hasa ila hapa kachemka......huwa anadai kuwapeleka watu kwa heaven kwa sir god,chaajabu leo anawasindikiza watu upotevuni......imeniuma kinoma,yaani naandika moyo unahasiraa kinomi.flora mbasha
Siyo biziness tu, lazima uwe na conviction pia na kile unachokifanya. Kuna mambo unapoyafanya yanakupambanua ulikoelekea. Huwezi kutofautisha sana kati ya kile unachokisema/kukiimba na kile unachokiamini. Vinginevo ni unafiki wa hali ya juu ya sana. Kwa hiyo hapa si suala la baishara tu, ni zaidi ya biashara. Huwezi kumuimba Kikwete kwamba ni kiongozi bora, na CCM ni nambari One halafu usiwe na imani na hicho nìunachokisema/kiimba kwa kisingizio kwamba hiyo ni biashara tu. Itakuwa ni ajabu. Lazima kwa namna moja au nyingine semina tungo hizo zikupambanue upande uliolalia. Na ni sawa kabisa. Kama hao wasanii wasingekuwa wanaipenda CCM na uongozi wake hata kama wana njaa wangekataa tena kistaarabu tu kushiriki tukio hilo. Ukumbuke waliombwa hawakulazimishwa.