Hivi viongozi wa katoliki hawakuwepo?huku kwetu hakuna umemeHivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo??
Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri.
Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti akaamua kupiga makofi kuipongeleza iliyotambulishwa sala kutoka kwa Hananja.
CCM wanatuletea maigizo kwenye uongozi hadi kwenye maswala ya kiimani.
Mungu fanya jambo.
Hivi viongozi wa katoliki hawakuwepo?huku kwetu hakuna umeme
Kama wapo basi hawajatambulishwa.Hivi viongozi wa katoliki hawakuwepo?huku kwetu hakuna umeme
HawakuwepoHivi viongozi wa katoliki hawakuwepo?huku kwetu hakuna umeme
Hivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo??
Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri.
Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti akaamua kupiga makofi kuipongeleza iliyotambulishwa sala kutoka kwa Hananja.
CCM wanatuletea maigizo kwenye uongozi hadi kwenye maswala ya kiimani.
Mungu fanya jambo.
Mwamedi na Mudi 🎵 🎶Hivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo??
Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri.
Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti akaamua kupiga makofi kuipongeleza iliyotambulishwa sala kutoka kwa Hananja.
CCM wanatuletea maigizo kwenye uongozi hadi kwenye maswala ya kiimani.
Mungu fanya jambo.
Wanaposema sema tusichanganye dini na siasa huwa nashindwa kuelewaHivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo??
Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri.
Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti akaamua kupiga makofi kuipongeleza iliyotambulishwa sala kutoka kwa Hananja.
CCM wanatuletea maigizo kwenye uongozi hadi kwenye maswala ya kiimani.
Mungu fanya jambo.
Laana inawatafunaHivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo??
Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri.
Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti akaamua kupiga makofi kuipongeleza iliyotambulishwa sala kutoka kwa Hananja.
CCM wanatuletea maigizo kwenye uongozi hadi kwenye maswala ya kiimani.
Mungu fanya jambo.
Yaani yule mzee alianzaga vizuri, alikuwa anahubiri neno vizuri tu, kuna muda ilifika point hata kuwakosoa baadhi ya wachungaji na manabii wenzie. Ila Leo hii sijui amekumbwa na nin, jana ndio amejivua nguo kabisaaHananja yule mvuta bangi ndiyo CCM wanamuona mtu wa maana hovyo kabisa
Hiyo ni kwa upinzani tuWanaposema sema tusichanganye dini na siasa huwa nashindwa kuelewa
Sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa akiliYaani yule mzee alianzaga vizuri, alikuwa anahubiri neno vizuri tu, kuna muda ilifika point hata kuwakosoa baadhi ya wachungaji na manabii wenzie. Ila Leo hii sijui amekumbwa na nin, jana ndio amejivua nguo kabisaa