CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

mshkaki79

Member
Joined
Jan 4, 2025
Posts
76
Reaction score
97
Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!!
Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!!
Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!!

Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu uliyoitumikia kiutawala..ujinga uliokithiri kwa baadhi ya wasomi wasiojielewa na kujipa uccm kwa maslahi yao imevuruga image nzima ya heshma ya chama Chao!!

Tatizo kubwa ni kuichanganya serikali na ccm yao kaeni mjue mipaka ya serikali na nachama ndio mfunue midomo!!!

Anayetoa siri za kiutawala kiujumla ni muhaini na hukumu yake ni jela maisha ama kifo!!
 
Je, kusema ukweli ni kujilipua?
 
Wanakosea kutumia watu wepesi kujibu hoja.
 
Je, kusema ukweli ni kujilipua?
Ukweli unasemwa pale unapokuwemo usisubiri kubanwa kwa maslahin!! Huyu alikuwa mkweli lkn alivyopewa Tonge akanyamaza mnafiki tuu !! Kuna watu waliawa Kibiti wakati wa magufuli maiti waliokotwa kwenye viroba yeye kutekwa dada yake na hajafa atananua mdomo kama kivuko !! Hao wenzake atulie tu
 
Hoja hujibiwa kwa hoja zenye nguvu zaidi.?
Kama hoja gani mh !! Hoja ya kutekwq ilikuwepo yeye akiwa mmbunge na wakusini maeneo ya kibiti na rufiji ni waathirika wakubwa nayeye alikuwepo mbona hakufungua mdomo kusema
 
Kama hoja gani mh !! Hoja ya kutekwq ilikuwepo yeye akiwa mmbunge na wakusini maeneo ya kibiti na rufiji ni waathirika wakubwa nayeye alikuwepo mbona hakufungua mdomo kusema
Hoja ya kujiteua kugombea!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…