CCM nambari wani

tunasema hivi , mwisho wao ni 2015 , Mungu yuko upande wa wananchi .
 
2015 baada ya uchaguzi kuna watu watabadili ID au watakimbia kabisa JF, sis wote ni watanzania wenye mapenzi mema kabisa na nchi yetu na tunatamani siku moja kila anayeitwa mtanzania apate huduma zote za msingi awe na maisha bora. Chama cha mapinduzi hakina hati ya kutawala milele pale kitakapotokea chama chenye sera bora na madhubuti wananchi wanaweza wakakichagua kushika hatamu. Lakini kwa bahati mbaya mpaka leo hii hakuna chama chenye sifa hizo zaidi ya CCM pekee. Sera za kuongoza nchi sio habari za mafisadi tu,na maandamano ya kijinga au mkakati wa kuiondoa CCM, nini sera zenu mtatufanyia nini watanzania??? mnakaa tu. mnanyoosha vidole ktk majukwaa yule mwivi, lakini kwa bahati njema watanzania tuna akili timamu. Tunafahamu nini cha kufanya wakati wa uchaguzi.
Kidumu chama cha mapinduzi
 

Uchaguzi wa juzi hizo dalili zilikuwa wazi kabisa wengi waliyeyeka na waliporudi hewani walikuwa na excuse kibao
 

​kwa pesa hiyo jaribu mabwe pande! (sio utani, kuna viwanja amnispaa ya kinondoni wanauza, si kwenye kale kamsitu!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…