Pre GE2025 CCM naomba mumshauri Mzee Wasira asimamie kwenye hoja kwenye hotuba zake

Pre GE2025 CCM naomba mumshauri Mzee Wasira asimamie kwenye hoja kwenye hotuba zake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Sisi wana CCM tunampongeza Mzee Wassira kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kwa kura za kishindo kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. HONGERA SANA.

Tangu Mzee Wassira achaguliwe maneno anayotoa kwenye hotuba zake hasa dhidi ya upinzani siyo maneno ya staha na kutokana na maneno yake anaweza kuipunguzia CCM kura katika Uchaguzi Mkuu ujao. Asimame kwenye hoja na siyo maneno yasiyo ya staha.

Ni vema akamuiga mtangulizi wake ambaye kila mara alisimamia kujenga hoja na hatimaye CCM ikaaminiwa na wananchi.

Mshaurini asimamie kwenye hoja vinginevyo atakuja kuiharibia CCM.

Pia soma > Ado Shaibu: Mzee Wasira ameletwa kuhamisha ajenda za msingi badala yake tujadili hoja zake za kitoto, tumpuuze
 
Back
Top Bottom