Yelewiii parakwiiii Haya ni maajabuuWapigane tu hakuna namna, chama chote kimeoza na Mwl alishawalaani hawa. Aliwaambia CCM hii siyo ile aliyoijua yeye, CCM ya leo ni magenge ya vibaka
Kazi maalumu ya lile kundi hawawezi toka wote lazima chambo awepo na steringi hafi mapema na ushindi umebaki kidogo sanaaaaNdugai anaenda bungeni kutafuta nn alichoshindwa kukitekrleza ????
Mwaka huu watatoana vibyongo!!Toto jizi likikosa cha kuiba nje basi litaiba nyumbani - ndiyoo lishazoea tabia ya wizi.
Kulalamika haitoshi yakunjane hai yatoke ngeu kabisa. Hakuna watu wapumbavu wa kushabukia ujinga kama fisiemu maslahiKila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM.
Tulipowaambia NO REFORMS NO ELECTION mlitubeza. Hatutaingilia ugomvi wenu wa wanandugu!!
Nadhani baada ya kesho CCM tutaanza hata kutekana..Maana shughuli zinazoendelea usiku kuhusiana na kura za maoni haziashilii mwisho mwema.Kila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM.
Tulipowaambia NO REFORMS NO ELECTION mlitubeza. Hatutaingilia ugomvi wenu wa wanandugu!!
πππππππHuu uchaguzi wa ndani ndugai lazima atamzimisha mtu π
Ushauri tu kwa wanaochuana naye wawe wanavaa helmet βοΈ
π
Ova
Hao watapewa ili dhulumati waonekane hawana shida!Sasa kama wanadhulumiana wenyewe kwa wenyewe watashindwa nini kuwadhulumu ACT Wazalendo na CHAUMA?