Mafyangula
Member
- Jan 16, 2025
- 75
- 100
Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza!
CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana matope huyu kafanye lile tena hata bila kuweka ushahidi. Yani siasa zisizo za adabu na zilizokosa Demokrasia nzuri.
Halafu wanataka wapewe nchi kwa tabia mbovu kama hizo! kwakweli nchi hii wataendelea kuishikilia CCM tu nyie vyama vingine mtabaki kuwa wapenzi watazamaji tuuuu! Maana tunaogopa kuwapa nchi watu walopokaji na wenye tabia za kihuni tu!
Mimi naendelea kubaki na CCM tu na Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunampa kura za ndiyo mwaka huu katika uchaguzi mkuu!
CCM ni lichama kubwa sanaaaa! na Mitano tena kwa mama Samia!