U better shout upUjinga bdo ni janga kubwa,u better shout up
Huyu ni mnafiki anayesumbuliwa na njaa tumboni mpaka kichwani.ndio maana kwenye mada yake ya jana anayosema hawezi kumsikiliza Rais wetu Mpendwa nimempuuza bila kumjibu kitu.nimegundua ni mroho wa madaraka na aliyekuwa CCM kwa kutaka vyeo na alipokosa ameanza kutapatapa kama kichaa au mwendawazimu
Aise Mayor QuimbyHuyu ni mnafiki anayesumbuliwa na njaa tumboni mpaka kichwani.ndio maana kwenye mada yake ya jana anayosema hawezi kumsikiliza Rais wetu Mpendwa nimempuuza bila kumjibu kitu.nimegundua ni mroho wa madaraka na aliyekuwa CCM kwa kutaka vyeo na alipokosa ameanza kutapatapa kama kichaa au mwendawazimu
ni muhimu kuheshimu maoni na mtazamo wa wengine kuhusu jambo fulani.Mbona mwanzo alimsifia sana
Huoni bandiko imekuwaje tena kageuka π
Ova