kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 513
Kama yote hayo ni kweli, mnaficha nini? Tuliambiwa hivi hivi kuhusu migodi yote yenye mikataba tata, tuliambiwa hivyohivyo kuhusu Richmond, Escrow na ujinga mwingine mwingi. CCM ndivyo walivyo, ulaghai ilimradi waendelee kubaki madarakani. Tunaamishwa hivyo kila Leo wakati watu wanapiga hela kila Leo.
Nchi maendeleo kiduchu na kina la majina ya ajabu ya wa Tanzania kama vile eti mtetezi wa WANYONGE. Wanyonge my foot. Hizi political propaganda zina mwisho na huu ndo mwisho wao. Hata Mobutu alijenga Zaire, lakini akawa dikteta aliua wote wapinzani wake, akaiba sana hela za umma na kujimilikisha nchi ya Zaire kama shamba lake. Kaishia wapi na roho mbaya yake. Wananchi masikini walihangaika sana.
Leo mnatuletea uhalalishi wa matumizi mabovu ya hela ya umma, We need change of government. Hii porojo zitakuwepo daima, hata nikifika 2025, wataleta mwingine na kuaminisha umma wa watanzania kwamba anafaa tena kuendelea kuliangamiza taifa.
Kwa bahati mbaya tumeo lengo na nia yao ovu ya ccm kutaka kuua upinzani. Wakiingia tena watapisha sheria yakuongeza muda wa rais, au kufutilia mbali upinzani.