Elections 2010 Ccm ndivyo walivyo

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
Anayetaka kuwaamini ccm katija jambo lolote ni juha. Kura zote za ccm zimeenda kwake na marando kapata zote cdm na chache za wana cuf walioasi maelekezo ya wakubwa wao.cdm jueni kuwa mko peke yenu upinzani.nanyi mkiendekeza diplomasia za kijinga tutawapa kisogo.hakuna kulala mpaka kieleweke
 
licha ya CCM kutoa kura zote kwa mwana ccm mwenzao Leo CUF wameniudhi sana na ndio maana tunawaita CCM B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…