Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ndicho chama pekee kinachozungumzwa sana na waTanzania kila kona na pembe ya Tanzania. Na ndiyo turufu ya umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Dhamira yake njema, mipango mikakati madhubuti ya uhakika, na malengo yake ya maendeleo endelevu, ndicho hasa kinachowavutia wananchi na wapiga kura wengi zaid nchini.
Matumaini, utii na uaminifu wa waTanzania umeimarika zaidi dhidi ya CCM kwasasa, ukilinganisha na wakati mwingine, na kwahivyo mamilioni ya wanainchi, watakaoshiriki uchaguzi huu muhimu wa kihistoria, kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini, wameshaamua na kupanga kuwaunga mkono na kuwachagua wagombea wote wa CCM, kwasababu ndio pekee wenye sifa na vigezo mahususi vya uongozi kizalendo na kikatiba na ndiyo pekee wanao aminika na kukubalika zaidi kote nchini.
Ni furaha iliyoje kwamba waTanzania wengi wazalendo hivi sasa wametambua, wamekataa kuambatana na wamejitenga kabisa na vyama vinavyowabeba vibaraka waliotumwa na mabwenyenye ya magharibi kuja kujaribu kuvuruga umoja, amani na utulivu wa waTanzania kwa maslahi yao binafsi, familia zao na hao mabwenyenye wa magharibi wanao watuma.
Pole pole vyama hivyo vilivyovamiwa na vibaraka vimeanza kupoteza credibility mbele ya jamii, kwasababu kwa zamu zamu na kwa nyakati tofauti tofauti vibaraka wanavitumia vyama hivyo vya siasa kama platform ya kubeba agenda, dhamira na nia zao binafsi na mabwenyenye wao kujipenyeza nchini.
Wanachama wengine dani ya vyama vilivyovamiwa na vibaraka, wameanza kujiengua kuo sehemu ya vibaraka na kwa mamilioni yao wanajiunga CCM hasa katika kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania