M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Jan 8, 2022 #1 Hili lipo wazi kabisa uongozi wa taifa hili chini ya CcM ni kurithishana na kupeana mapande ya kupiga madili. Mwaka 2025 ndio wakati muafaka wa kuwaadhibu. Maana wanarithishana upigaji madili na uongozi kama taifa la kisulutani
Hili lipo wazi kabisa uongozi wa taifa hili chini ya CcM ni kurithishana na kupeana mapande ya kupiga madili. Mwaka 2025 ndio wakati muafaka wa kuwaadhibu. Maana wanarithishana upigaji madili na uongozi kama taifa la kisulutani