CCM ni chama kinachotakiwa kufutwa mapema kwa ustawi wa Taifa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Hiki chama ..kinatakiwa kufutwa haraka sana .

Watu wengi wenye nia ovu na Taifa letu wamejifichà katika kivuli cha hiki chama.

Wananchi wengi wanahitaji Amani ya kweli.
😛Pendekezo msajiri ebu futa hiki chama Mara moja . tunaitaji Tz imara isiyokuwa na vyama vyenye kulea watu waovu.
 
msajiri hata futaje chama wakati kaajiliwa na serekali ya ccm.

kikubwa katiba ndio kila kitu
 
Kweli tupu tunatawaliwa na wezi wakubwa tufanye kitu kuondoa hili genge.
 
Wanachama wake nao itakuwaje?Wahamie Kazakhstan wakalime bangi.
 
Wewe unaona kuna chama chochote huko nje chenye nafuu kuliko CCM,mbona wote ni manyang'au tu!!
 
Kufuta CCM sio issue..! Issue kikishafutwa Mbadala nini..? Viko wapi Vyama serious Mbadala? Vyama vilivyopo ni Vya mfukoni havina hata Ofisi za Makao Makuu zinazoeleweka..!
 
Vipi sasa ikiwa na huyo Msajili naye ni miongoni mwa hao watu wenye nia ovu? Atakifuta kweli!!! Nawaza tu hapa lakini 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…