CCM ni jino lililoanza kulegalega

CCM ni jino lililoanza kulegalega

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
CCM inazidi kuanguka na sasa wananchi walio wengi zaidi ya uchaguzi uliopita, wameshaliona hilo kuwa CCM haina maslahi na wananchi zaidi ya wale walio kwenye viti na meza ambao hutembea na ladu na kashata kuwalisha wananchi.

Ahadi kedekede zenye matumaini yasiotabirika, sasa walio wengi wameanza kuwa sugu na kuzielewa hila hizo.

Ni umma tu ndio utakaoweza kuiangusha CCM na kuing'owa madarakani, sasa umma umeanza kuiva. Wazanzibari asilimia 90 wameshaiweka kando CCM huku Tanganyika mnasubiri nini?
 
Back
Top Bottom