CCM ni katili sana, sishangai ukatili wa serikali yake

CCM ni katili sana, sishangai ukatili wa serikali yake

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Salaam wakuu.

Hebu fikiria kiongozi wa serikali amelala Nyumbani na Familia yake halafu siku hiyo hiyo ametoka kubomoa makazi ya watu na kuiacha uchi familia ya Mwenzako namna hii? Unajisikiaje?. Jibu ni moja kwa sababu ni mwana CCM hao wamezoea ukatili ndo maana hata kwenye majukwaa yao hutoa matamshi ya kutaka kuwadhuru watu wote wanaotetea haki za wananchi huku vyombo vya dola vikiwaangalia tu pasi nakuchukua hatua yoyote.

Kila mara tunasikia na kuona watanzania wenzetu wametendewa ukatili kama vitendo vilivyotokea ngorongoro na ,sanya nk na ardhi zao kupewa wageni. Na pale akitokea mtu akadai haki yake basi atadhuliwa,kupewa kesi au kuitwa majina mabaya.

Video ikionesha moja ya familia waliovunjiwa nyumba yao ,ili kupisha uwekezaji wa waarabu wa uwanja wa ndege.

 
Back
Top Bottom