CCM ni lazima tutafute Watu Makini wa Kupambana na Chadema Mpya hawa Waigizaji akina Mwijaku na Baba Levo hata katiba haiwatambui!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu

Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema

Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 😄
 
Msipobadili Mgombea Urais, mkashupaza shingo, Mtamwaga Damu sana.

Siasa ya LISSU, ni Siasa za misimamo Mkali , Siasa za watu kujilipua.

LISSU anahitaji Mgombea Urais mwenye ushawishi, Mvuto na maarifa kichwan Ili hata Mabadiliko yanahohitajiwa na LISSU yakifanyika, bado anakuwepo MTU mwenye kushindana na LISSU Kwa level Moja ya Uelewa.

Ukweli ni Kua Wagombea wenu watawalazimisha sana kutumia Nguvu na mtutu .

LISSU HATANII
 
Wagombea wa ccm weupe mno kichwani
 
Mgombea wetu wa urais nyie Chadema anawahusu nini? 🐼
 
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu

Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema

Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 😄
Baba levo toka lini kawa chawa wa ccm? Mi najua ni mwana Act wazalendo na alishakuwa mpaka diwani
 
Msipobadili Mgombea Urais, mkashupaza shingo, Mtamwaga Damu sana.

Siasa ya LISSU, ni Siasa za misimamo Mkali , Siasa za watu kujilipua.

LISSU anahitaji Mgombea Urais mwenye ushawishi, Mvuto na maarifa kichwan Ili hata Mabadiliko yanahohitajiwa na LISSU yakifanyika, bado anakuwepo MTU mwenye kushindana na LISSU Kwa level Moja ya Uelewa.

Ukweli ni Kua Wagombea wenu watawalazimisha sana kutumia Nguvu na mtutu .

LISSU HATANII
Kwani Lissu atashiriki uchaguzi?
 
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu

Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema

Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 😄
Iwatolee wapi hao Vijana makini. Ukiona mpaka wanawekwa wakina Mwijaku ujue hao ndio the best kuliko wote huko.
 
Umewataja kina baba Levo umemsahau Lucas Mbwa Wa Shamba na genge lake form four failures.
 
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu

Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema

Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 😄
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu

Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema

Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe

Ahsanteni sana 😄
Kikongwe Jo si upo au nako umestaafu
 
Back
Top Bottom