johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wagombea wa ccm weupe mno kichwaniMsipobadili Mgombea Urais, mkashupaza shingo, Mtamwaga Damu sana.
Siasa ya LISSU, ni Siasa za misimamo Mkali , Siasa za watu kujilipua.
LISSU anahitaji Mgombea Urais mwenye ushawishi, Mvuto na maarifa kichwan Ili hata Mabadiliko yanahohitajiwa na LISSU yakifanyika, bado anakuwepo MTU mwenye kushindana na LISSU Kwa level Moja ya Uelewa.
Ukweli ni Kua Wagombea wenu watawalazimisha sana kutumia Nguvu na mtutu .
LISSU HATANII
Mgombea wetu wa urais nyie Chadema anawahusu nini? πΌMsipobadili Mgombea Urais, mkashupaza shingo, Mtamwaga Damu sana.
Siasa ya LISSU, ni Siasa za misimamo Mkali , Siasa za watu kujilipua.
LISSU anahitaji Mgombea Urais mwenye ushawishi, Mvuto na maarifa kichwan Ili hata Mabadiliko yanahohitajiwa na LISSU yakifanyika, bado anakuwepo MTU mwenye kushindana na LISSU Kwa level Moja ya Uelewa.
Ukweli ni Kua Wagombea wenu watawalazimisha sana kutumia Nguvu na mtutu .
LISSU HATANII
CCM ina Watu makini sana Sema Wana utulivu mnoWagombea wa ccm weupe mno kichwani
Baba levo toka lini kawa chawa wa ccm? Mi najua ni mwana Act wazalendo na alishakuwa mpaka diwaniKiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu
Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema
Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe
Ahsanteni sana π
ACT wazalendo ni TAWI la CCM πBaba levo toka lini kawa chawa wa ccm? Mi najua ni mwana Act wazalendo na alishakuwa mpaka diwani
Hujamfatilia hivi karibuni kumbeBaba levo toka lini kawa chawa wa ccm? Mi najua ni mwana Act wazalendo na alishakuwa mpaka diwani
Kwani Lissu atashiriki uchaguzi?Msipobadili Mgombea Urais, mkashupaza shingo, Mtamwaga Damu sana.
Siasa ya LISSU, ni Siasa za misimamo Mkali , Siasa za watu kujilipua.
LISSU anahitaji Mgombea Urais mwenye ushawishi, Mvuto na maarifa kichwan Ili hata Mabadiliko yanahohitajiwa na LISSU yakifanyika, bado anakuwepo MTU mwenye kushindana na LISSU Kwa level Moja ya Uelewa.
Ukweli ni Kua Wagombea wenu watawalazimisha sana kutumia Nguvu na mtutu .
LISSU HATANII
Kaishachenji gia hewani?Hujamfatilia hivi karibuni kumbe
Mabadiliko yakifanyika, atashirikiKwani Lissu atashiriki uchaguzi?
Iwatolee wapi hao Vijana makini. Ukiona mpaka wanawekwa wakina Mwijaku ujue hao ndio the best kuliko wote huko.Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu
Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema
Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe
Ahsanteni sana π
Wapo Sema hawanaga kimbelembele tu πIwatolee wapi hao Vijana makini. Ukiona mpaka wanawekwa wakina Mwijaku ujue hao ndio the best kuliko wote huko.
Kama wapo Wangekuwa wamewekwa ili waokoe jahazi lisizame. Kinachoendelea kwa sasa ni Last kicks of a dying donkey!Wapo Sema hawanaga kimbelembele tu π
Lile si fata upepo.alisema atachukua kadi ya ccmKaishachenji gia hewani?
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu
Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa kweli kupambana na Chadema
Tundu Lisu siyo Comedian kama alivyokuwa Freeman Mbowe
Ahsanteni sana π
Kikongwe Jo si upo au nako umestaafuKiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu